All posts tagged "usajili"
-
Soka
/ 3 years agoKyombo Njia Nyeupe Simba sc
Mshambuliaji Habibu Kyombo amefanikiwa kuvunja mkataba wake wa miaka miwili na klabu ya Singida Big Stars aliousaini wiki chache zilizopita ambapo...
-
Makala
/ 3 years agoAzam Fc Yamnasa Sopu
Klabu ya Azam Fc imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Abdul Suleiman Sopu kwa mkataba wa miaka mitatu ikishinda vita hiyo ya...
-
Makala
/ 3 years agoBalaa la Azam Fc Usipime
Ni balaa ndivyo unavoweza kusema baada ya mmiliki wa klabu ya Azam Fc Yussuph Bakhresa kuamua kuinia mwenyewe kazini na kushusha...
-
Makala
/ 3 years agoMayele Azua Tafrani
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Fiston Kalala Mayele amezua tafrani katika mitandao ya kijamii baada ya taarifa kusambaa kuwa amejiunga...
-
Makala
/ 3 years agoSimba sc Yamgomea Winga Mkenya
Kejeli za mashabiki mitandao na kugawanyika kwa viongozi wa klabu Simba sc juu ya usajili wa winga Harrison Mwendwa ndio kumesababisha...
-
Makala
/ 3 years agoSimba sc Yatambulisha Kocha Mpya
Klabu ya Simba sc imemtambulisha kocha wa zamani wa klabu ya Wydad Casablanca na Petro de Augusto Zoran Manojlović mwenye miaka...
-
Makala
/ 3 years agoWinga Mkenya Anukia Msimbazi
Klabu ya Simba sc ipo mbioni kukamilisha usajili wa winga raia wa Kenya Harrison Mwenda ambaye tayari amewasili nchini asubuhi ya...
-
Makala
/ 3 years agoGeita Gold Fc Wakumbwa na Rungu la Fifa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limeifungia Klabu ya Geita Gold kutosajiri Mchezaji yeyote Mpaka pale itakapolipa Madai ya mishahara...
-
Soka
/ 3 years agoMsuva Kipaumbele Yanga sc
Winga wa timu ya Taifa ya Tanzania Simon Msuva ameipa kipaumbele klabu ya Yanga sc endapo ataamua kusalia nchini kucheza katika...
-
Makala
/ 3 years agoFarid Ajifunga Miwili Yanga sc
Kiungo Farid Musa Malick amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia katika klabu ya Yanga sc mpaka mwaka 2024baada ya ule...