Browsing Category

Masumbwi

Nguo Zamponza Wilder

Bondia Mmarekani, Deontay Wilder, amesema uzito wa nguo alizovaa ndio sababu kubwa ya yeye kupoteza pambano lake dhidi ya bondia, Tyson Fury. Bondia huyo mwenye vituko, alivaa nguo zilizotengenezwa na ngozi kama zile zilizovaliwa na jeshi la warumi hapo zamani za kale. "Nilipofika raundi ya tatu, miguu yote iliisha nguvu. Nguo zile ndio…
Read More...

Mdomo Wamponza Wilder

Bondia Tyson Furry amefanikiwa kumpiga bondia Deontay Wilder na kuchukua ubingwa wa dunia wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika leo Las Vegas Marekani. Pambano hilo lililotikisa dunia katika mizani ya uzito wa juu ambapo Furry alikua anasaka heshima baada ya kuhisi alidhulumiwa ushindi katika pambano la awali disemba mwaka 2018. Furry…
Read More...

Mwakinyo Kiwango Juu

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika orodha ya mabondia wenye uzito wa Super Welter baada ya kushinda pambano lake na Mfilipino Tinampay lililofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam. Katika viwango ambavyo hutolewa na mtandao wa ngumi wa dunia (Boxrec), Mwakinyo amepanda hadi nafasi ya 17 kutoka nafasi ya 19 aliyokuwa…
Read More...

Pointi Zambeba Mwakinyo

Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi mbele ya bondia mfilipino Arnel Tinampay katika pambano la uzito wa juu la raundi 10 lililofanyika uwanja wa uhuru. Mwakinyo aliyepewa sapoti ya kutosha na watanzania wakiwemo mastaa mbalimbali kama Ommy Dimpoz,Mwana Fa na Ney wa Mitego alishinda kwa pointi za majaji ambao walitoa pointi zifuatazo¬†Jaji…
Read More...

Mwakinyo Kilo Nyingi

Mabondia Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay hii leo wamekamilisha zoezi la upimaji ambapo Mwakinyo amemzidi kilo 1 mpinzani wake Arnel Tinampay atakayepambana naye katika uzani wa Super Welter kesho kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mwakinyo alikuwa na kilo 70.6 wakati Tinampay alikuwa na kilo 69.7, pia mabondia hao walipimaji wa afya…
Read More...

Bondia Mwingine Afariki Ulingoni

Bondia wa Marekani Patrick Day 27,ambaye alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi tangu siku ya Jumamosi usiku baada ya kujeruhiwa vibaya katika pambano la ndondi ya kulipwa amefariki. Bondia huyo alipigwa na mpinzani wake Charles Conwell akapoteza fahamu ulingoni katika roundi ya 10 katika pambano la Superwelter weight lililofanyika…
Read More...