-
Masumbwi
/ 2 years agoMwakinyo Vs Carlos Kupimana Nguvu Kesho
Mtanzania Mwakinyo yupo tayari kwaajili ya pambano la kesho Novemba 13,dhidi ya muagentina Jose Carlos Paz aliyetua nchini Tanzania siku sita...
-
Masumbwi
/ 3 years agoUndetaker Astaafu Mieleka
Mwanamielekea Mark Calaway maarufu kama The Undertaker ametangaza kustaafu kwake mchezo huo kupitia video iliyoonyeshwa na Shirikisho la mieleka duniani(WWE) Undertaker...
-
Masumbwi
/ 3 years agoWilder Atemana na Kocha Wake
Bondia Deontay Wilder ametemana na kocha wake Mark Breland baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Muingereza Tyson Fury siku ya...
-
Masumbwi
/ 3 years agoNguo Zamponza Wilder
Bondia Mmarekani, Deontay Wilder, amesema uzito wa nguo alizovaa ndio sababu kubwa ya yeye kupoteza pambano lake dhidi ya bondia, Tyson...
-
Makala
/ 3 years agoMdomo Wamponza Wilder
Bondia Tyson Furry amefanikiwa kumpiga bondia Deontay Wilder na kuchukua ubingwa wa dunia wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika leo...
-
Masumbwi
/ 3 years agoMwakinyo Kiwango Juu
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika orodha ya mabondia wenye uzito wa Super Welter baada ya kushinda pambano lake na Mfilipino...
-
Masumbwi
/ 3 years agoPointi Zambeba Mwakinyo
Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi mbele ya bondia mfilipino Arnel Tinampay katika pambano la uzito wa juu la raundi 10...
-
Masumbwi
/ 3 years agoMwakinyo Kilo Nyingi
Mabondia Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay hii leo wamekamilisha zoezi la upimaji ambapo Mwakinyo amemzidi kilo 1 mpinzani wake Arnel Tinampay...
-
Masumbwi
/ 3 years agoBondia Mwingine Afariki Ulingoni
Bondia wa Marekani Patrick Day 27,ambaye alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi tangu siku ya Jumamosi usiku baada ya kujeruhiwa...
-
Masumbwi
/ 3 years agoMwakinyo,Mfilipino Rekodi Zinaongea
Bondia Hassan Mwakinyo anatarajiwa kupambana na bondia raia wa ufilipino Arney Tinampay katika pambano la uzito la Super welter litakalofanyika katika...