-
Masumbwi
/ 1 year agoFury amaliza ubishi kwa kumchapa tena Wilder
Bondia Muingereza Tyson Fury ambaye ni bingwa wa dunia wa WBC uzito wa juu amempiga kwa mara ya pili mfululizo bondia...
-
Masumbwi
/ 1 year agoDulla Mbabe apigwa na Mkongo
Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dulla Mbabe amepigwa katika pambano la uzito wa kati lililopewa jina la ‘Kiboko ya...
-
Masumbwi
/ 1 year agoAnthony Joshua achapwa na Usyk
Bondia wa Uingereza mwenye asili ya Nigeria Anthony Joshua amepoteza pambano lake la uzito wa juu la kugombania mikanda dhidi ya...
-
Masumbwi
/ 1 year agoPACQUIAO kuwania Urais Ufilipino
Mwanamasubwi maarufu duniani Manny Pacquiao ameweka wazi nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya watu wa Ufilipino katika uchaguzi mkuu...
-
Masumbwi
/ 1 year agoW/Mkuu: Tunasubiri Mwakinyo vs Kiduku
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema kuwa anasubiria kwa hamu pambano la mabondia wawili...
-
Masumbwi
/ 1 year agoTyson Fury kustaafu tena Boxing
Bondia wa uzito wa juu duniani toka Uingereza Tyson Fury ametangaza kuwa atastaafu ngumi za kulipwa baada ya mapambano yake matano...
-
Masumbwi
/ 1 year agoMwakinyo Ambwaga Indongo
Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea ubingwa wake wa African Boxer Union(ABU) baada ya kufanikiwa kumpiga bondia kutoka nchini Namibia Julius Indongo...
-
Masumbwi
/ 1 year agoMwakinyo kutetea ubingwa dhidi ya Mmalawi
Bondia Mtanzania ambaye pia ni bingwa wa Afrika Hassan Mwakinyo anatarajia kupanda ulingoni usiku wa leo katika pambano la kimataifa la...
-
Masumbwi
/ 1 year agoDulla Mbabwe,Twaha Kiduku hatoki mtu PAYBACK NIGHT
Lile pambano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu na wapenzi na wadau wa ngumi nchini Tanzania kati ya Mzaramo Dulla Mbabe na Mpogoro...
-
Masumbwi
/ 2 years agoWilder vs Fury kuzichapa oktoba 9
Pambano la masumbwi kati ya Mmarekani Deontay Wilder dhidi ya Muingereza Tyson Fury limepangiwa upya tarehe,sasa kupigwa oktoba 9,2021. Pambano hilo...