Connect with us

Makala

Yanga SC yaongoza idadi mashabiki na mapato 2020/2021

Mabingwa wa kihistoria nchini Yanga SC imetajwa kushika nafasi ya kwanza kwa timu za ligi kuu ya soka Tanzania Bara na ligi daraja la kwanza zilizoingiza mashabiki wengi viwanjani kwa msimu uliopita wa 2020/2021 kwa mujibu wa bodi ya ligi.

Licha ya kutochukua ubingwa wa ligi kuu au ule wa kombe la shirikisho la azam kwa miaka minne lakini bado Wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi viwanjani kuiunga mkono timu yao kila inapocheza katika uwanja wake wa nyumbani wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam pamoja na pale inapokwenda mikoani.

Mabingwa wa ligi hiyo Simba SC wanashika nafasi ya pili katika orodha hiyo inayoonesha vilabu ishirini vilivyoingiza mashabiki wengi viwanjani kwa ligi kuu na ligi daraja la kwanza.

Orodha kamili;

 

Yanga pia imeongoza kwa mapata ya viwanjani ikijikusanyia zaidi ya milioni 980 za Kitanzania,orodha ni kama ifuatavyo

 

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala