Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Clement Mzize amepata ofa nono ya kujiunga na klabu ya Zamaleck Fc ya nchini Misri kujiunga na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Ofa …
Featured
-
-
Beki wa kati wa Simba Sc Abdulrazack Hamza (22) amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kwaajili ya mechi ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya RS …
-
Kipa wa klabu ya Simba Sc Aishi Manula amekua ni miongoni mwa magolikipa wa klabu hiyo waliosafiri na msafara wa timu hiyo kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mechi ya …
-
Uongozi wa Klabu ya Yanga Sc umethibitisha kwamba kiungo mshambuliaji wao, Stephine Aziz Ki atajiunga na klabu ya Wydad Casablanca baada ya klabu hiyo kumalizana na Yanga sc kwa dau …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Crdb nchini baada ya kuifunga klabu ya Jkt Tanzania kwa mabao 2-0 katika mchezo …
-
Klabu ya Rs Berkane imetanguliza matumaini ya kutwaa taji la kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kuifunga timu ya Simba sc kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa …
-
Kikosi cha klabu ya Yanga Sc kimeanza safari leo Mei 16Â kuelekea Mkoani Tanga leo Asubuhi Mei 16 , 2025 na tayari kimewasili mchana huu kwa ajili ya mchezo wao …
-
Uongozi wa Kaizer Chiefs utajaribu kutimiza ndoto za mashabiki wao kwa kumpata Feisal Salum kutoka klabu ya Azam Fc licha kuwa mchezaji huyo ana ofa nyingi ndani na nje ya …
-
Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba Sc Roberto Oliveira (Robertinho) ambaye hivi majuzi alisimamishwa kazi na Rayon Sports kwa sababu za kimatibabu, amewasilisha malalamiko kwa Chama cha soka cha …
-
Klabu ya Petro de Luanda imepanga kusitisha mkataba wa winga , Deivi Gilberto, aliyejiunga na klabu hiyo kwa mkopo kutoka Orlando Pirates kutokana na mchezaji huyo kuwa utovu wa nidhamu …