All posts tagged "Featured"
-
Makala
/ 2 weeks agoSimba Sc Vs Singida saa 2
Kufuatia kuanza kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani sasa mchezo wa ligi kuu baina ya klabu ya Simba sc dhidi...
-
Soka
/ 3 weeks agoNzengeli Kuikosa Namungo Fc
Kikosi cha klabu ya Yanga sc kimewasili mkoani Mtwara mapema mchana wa leo kwa ndege ya kukodi tayari kwa mchezo wa...
-
Makala
/ 3 weeks agoSingida FG Yatimua Kocha
Klabu ya Singida Fountain Gate Fc imetimua benchi la ufundi lililokua chini ya kocha Thabo Senong kutokana na mfululizo wa matokeo...
-
Soka
/ 3 weeks agoSimba Sc Yafungwa na Wajelajela
Klabu ya Simba sc imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri...
-
Soka
/ 3 weeks agoDube Arejesha Kila Kitu Azam,Aaga Mashabiki
Mshambuliaji Prince Dube amerejesha mali zote alizopewa na klabu hiyo ikiwemo gari ya kutembelea pamoja na nyumba baada ya kugoma kuendelea...
-
Makala
/ 3 weeks agoBruno Aondoka Singida Fg
Kiungo mshambuliaji Bruno Gomez ameamua kuvunja mkataba na klabu yake ya Singida Fountain Gate Fc kutokana na klabu hiyo kushindwa kutimiza...
-
Soka
/ 3 weeks agoSimba Sc Rasmi Yahamia Moro
Klabu ya Simba sc sasa imetangaza kuwa itautumia uwanja wa Jamhuri ulioko mkoani Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani kutokana na...
-
Soka
/ 3 weeks agoDube Aomba Kuvunja Mkataba Azam Fc
Mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Prince Dube amewasilisha barua ya kuomba kuvunja mkataba na klabu hiyo kutokana na kutokua na...
-
Soka
/ 3 weeks agoFeisal Kinara Ligi Kuu
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Feisal Salum amekua kinara wa ufungaji wa mabao katika ligi kuu ya Nbc msimu...
-
Soka
/ 4 weeks agoAzam Fc Yaifikia Yanga sc
Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Dodoma Jiji Fc sasa klabu ya Azam Fc imefanikiwa kufikisha alama...