Connect with us

Makala

Barca Yarudi Kileleni

Klabu ya Barcelona fc jana imerudi kileleli mw ligi ku nchini humo baada ya kuifunga klabu ya Athletic Bilbao kwa bao 1-o.

Bao hilo lilifungwana kiungo raia wa Crotia Ivan Raktic dakika ya 71 na kumfanya nahodha wa klabu hiyo Lionel Messi kusherehekea siku yake ya kutimiza miaka 33 kwa furaha ya ushindi huku pia akiwa na magoli 699 katika michuano yote klabuni hapo.

Barca imefikisha jumla ya alama 68 na kurudi kileleni mwa ligi ya La liga huku mahasimu wao wakuu Real Madrid wakiwa na alama 65 pamoja na mchezo mmoja mkononi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala