All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 2 days agoYanga Sc Kuachana na Musonda
Klabu ya Yanga sc imefikia makubaliano ya kuachana na mshambuliaji Kennedy Musonda ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni msimu huu. Staa huyo...
-
Makala
/ 2 weeks agoNi Simba Sc vs Singida Black Stars
Klabu za Simba sc na Singida Black Stars zijatarajiwa kumenyana vikali katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la...
-
Makala
/ 3 weeks agoMwambusi Ajiondoa Coastal Union
Kocha Juma Mwambusi ameachana na klabu ya Coastal Union kwa makubaliano ya pande mbili baada ya timu hiyo kuwa na mfululizo...
-
Makala
/ 3 weeks agoYanga sc Yamuwania Girumugisha
Taarifa kutoka Nchini Burundi zimethibitisha kuwepo na Mazungumzo baina ya klab ya Yanga sc na winga Raia wa Burundi anayeitumikia klabu...
-
Makala
/ 4 weeks agoYanga Sc Walamba Asali Tabora
Ilikua raha kama kulamba asali ya nyuki wadogo,Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mashabiki na viongozi wa klabu ya Yanga sc kutoka...
-
Makala
/ 1 month agoMvua Yaharibu Uzinduzi Airtel Stadium
Mvua iliyonyesha wakati wa mchezo wa Uzinduzi wa uwanja wa Airtel stadium mkoani Singida imesababisha kuvunjika kwa mchezo baina ya timu...
-
Makala
/ 1 month agoYanga Princess Yaibuka Mbabe Kwa Simba Queens
Klabu ya wanawake ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu mbele ya Simba queens baada ya kuifunga kwa bao 1-0...
-
Makala
/ 1 month agoMayanga Kutua Mashujaa Fc
Klabu ya Mashujaa United imefanikiwa kumng’oa kocha Salum Mayanga katika klabu ya Mbeya City Fc kuja kuchukua nafasi ya ukocha mkuu...
-
Makala
/ 1 month agoBanda Kuvuna Mamilioni Richard Bay
Beki Mtanzania Abdi Banda anajiandaa kupokea Mamilioni kutoka katika Klabu ya Richard Bay inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika ya kusini baada...
-
Makala
/ 2 months agoKaizer Chiefs Yakomaa na Diarra
Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini Imefungua mlango wa mazungumzo na Uongozi wa klabu ya Yanga sc ya Tanzania kuona...