All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 4 years agoSmalling Asaini Roma Miaka mitatu
As Roma wamemsajili beki wa Manchester United,Chris Smalling kwa kandarasi ya miaka mitatu huku wakiweka mezani kiasi cha bilioni 1.9. Usajili...
-
Makala
/ 4 years agoBarkley Atua Villa Kwa Mkopo
Klabu aliyotoka nahodha wa kitanzania Mbwana Samatta ya huko Uingereza,Aston Villa imemsajili Ross Barkley kutoka Chelsea kwa mkopo hadi mwisho wa...
-
Makala
/ 4 years agoRais Lyon Atoa Ruksa Kusepa
Rais wa klabu ya Olympique Lyon ,Jan Michael Aulas amewambia wachezaji wote wa timu hiyo kufikia ijumaa mchezaji yeyote aliepo kwenye...
-
Makala
/ 4 years agoMan United Yapigwa Chini Kwa Ansu
Barcelona Imekataa Ofa ya euro 150 milioni iliyowekwa Mezani kwa klabu inayodhaniwa,Manchester United kutoka kwa wakala wa Ansu Fati ili kukamilisha...
-
Makala
/ 4 years agoRoma Wamtaka Smalling Tena
Manchester United inadaiwa kumueka sokoni beki wake wake wa kati, Chris Smalling ambaye anahitajika na klabu As Roma,na Inter Milan. Smalling...
-
Makala
/ 4 years agoSuarez Atua Atletico Madrid
Barcelona wamekubali kumwachia mshambuliaji wao,Luis Suarez kujiunga na washindani wakuu wa ligi kuu ya Uhispania (Laliga),Atletico Madrid. Suarez ametumia miaka sita...
-
Makala
/ 4 years agoSemedo Atimkia Wolves
Beki wa kulia ambaye pia ni raia wa Ureno,Nelson Semedo ametua Wolverhampton Wanderers kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Barcelona. Kocha...
-
Soka
/ 4 years agoMashuti Kwanza-Zlatko
Kocha mkuu Yanga Zlatko Krmpotic amekuwa akiwahimiza wachezaji wake kupiga mashuti makali wanapokaribia katika lango la wapinzani. Katika kulithibitisha hilo timu...
-
Soka
/ 4 years agoAlcantara Atua Liverpool
Kiungo wa klabu ya Bayern Munchen Thiago Alcantara amekamilisha usajili wake kutua katika klabu ya Liverpool ya ligi kuu nchini Uingereza....
-
Makala
/ 4 years agoMan United Waitaka Saini Ya Bale
Manchester United imeingia kwenye rada ya kumnasa nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ili ajiunge na kikosi hicho kwa ajili ya...