Barkley Atua Villa Kwa Mkopo

0

Klabu aliyotoka nahodha wa kitanzania Mbwana Samatta ya huko Uingereza,Aston Villa imemsajili Ross Barkley kutoka Chelsea kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2020/2021.

Kiungo huyo wa kimataifa alisajiliwa na Chelsea mnamo 2018 akitokea Everton kwa kiasi cha pauni 15 milioni na ameichezea jumla ya michezo 86 Chelsea akifunga mabao 11 na kutoa asisti 11.

Barkley snakamilisha sajili ya tano villa kwenye dirisha hili,kufuatia kuwasili kwa Ollie Watkins,Bertrand Traore,Emilliano Martinez na Matty Cash.

Leave A Reply

Your email address will not be published.