Connect with us

Masumbwi

PACQUIAO kuwania Urais Ufilipino

Mwanamasubwi maarufu duniani Manny Pacquiao ameweka wazi nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya watu wa Ufilipino katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwaka 2022.

Bondia huyo ambaye kwasasa ni Seneta katika serikali ya sasa ya Rais Duterte wa chama cha mlengo wa kushoto cha PDP.

Pacquiao mwenye miaka 42 ameyasema hayo alipokuwa alipokuwa akijibu maswali ya waandishi siku ya Jumapili kudusu ukosefu wake uzoefu katika maswala ya kisiasa licha kuwepo kwenye kiti cha seneta kwa zaidi ya miaka sita.

Seneta huyo amekubali ombi la muungano unaunda chama tawala cha chake cha PDP-Laban party katika mkutano wa bunge kuwania kiti hicho baada ya chama pinzani kumtangaza mpinzani wa muda mrefu wa Rais Duterte Seneta Bong kuwania urais.Rais wasasa Bwana Duterte anazuiwa na katika ya Ufilipino kugombea tena muhula mwingine baada ya ule wa miaka sita kutamatika mwaka 2022.

Pacquiao amesema ”mimi ni mpambanaji,na siku zote nitaendelea kuwa mpambanaji ndani na nje ya ulingo,ninakubali pendekezo lenu la kugombea urais wa Ufilipino”.

Seneta huyo pia alithibitisha hilo kwa ujumbe katika mtandao wa twitter huku akiahidi kupambana na rushwa na unyonyaji akieleza kuwa muda wa kufanya hivyo umekwisha.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Masumbwi

  • Mwakinyo Huru

    Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungulia bondia Hassan Mwakinyo kutoka kifungoni baada...

  • Bondia Mtanzania Fadhili Majiha ‘Kiepe Nyani’ ambaye ni bingwa wa mkanda wa WBC Afrika...

  • Ibrahim Class Amtwanga Mchina

    Bondia Mtanzania Ibrahim Class ameshinda pambano la ubingwa wa TPBRC dhidi ya bondia raia...

  • Mwakinyo Aitwa Mahakamani

    Kampuni ya PAF Promotion imemfungulia shauri la madai Bondia Hassan Mwakinyo ambalo linatarajiwa kutajwa...