Connect with us

Makala

Onyango Aigomea Simba sc

Beki wa klabu ya Simba sc Joash Onyango (28) raia wa amekataa ofa mpya aliyopewa na klabu ya Simba kwa ajili ya kuongeza mkataba mpya katika klabu hiyo hivi karibuni.
Beki huyo anataka aongezewe dau ili asaini mkataba mpya kwa wekundu wa Msimbazi kipindi hichi ambacho mkataba wake unaelekea ukingoni Wakati huohuo klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika ya kusini   imeonesha nia ya kutaka saini yake.
Onyango amekua na msaada klabuni hapo tangu asajiliwe misimu miwili iliyopita akicheza na mabeki tofauti tofauti eneo la kati kama Kennedy Juma na Pascal Wawa na hivi karibuni ameanza kucheza eneo hilo na Henock Inonga.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala