Connect with us

Makala

Kipa Coastal Union Amwaga Wino KMC

KMC Fc imekamilisha usajili wa golikipa, Masoud Abdallah (Dondola) kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Coastal union.

Nyota huyo alikuwa kwenye ubora msimu wa 2019/2020 ambapo alijikusanyia Clean Sheet 17 akiwa ndani ya Coastal Union.

Abdallah anakuwa ni kipa wa pili kusaini dili jipya ndani ya KMC ambapo anaungana na Raheem Sheikh ambaye ni kipa aliyekuwa anakipiga ndani ya Mbao FC.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala