All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 3 months agoMorrison Kutua Kengold Fc
Nyota wa zamani wa klabu za Simba Sc na Yanga Sc Bernard Morrison yupo mbioni kujiunga na Klabu ya Kengold Fc...
-
Makala
/ 4 months agoKocha Jkt Akabidhiwa Kilimanjaro Stars
Kocha wa timu ya Jkt Tanzania Ahmed Ally ameteuliwa na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuwa kocha mkuu wa timu ya...
-
Makala
/ 4 months agoChukwu,Fikirini Warejea Singida Bss
Klabu ya Singida Black Stars imewarejesha wachezaji Morice Chukwu na Fikirini Bakari waliokua kwa mkopo katika klabu za Tabora United na...
-
Makala
/ 4 months agoBangala Atemwa Azam Fc
Mabosi wa klabu ya Azam Fc wamefikia uamuzi wa kuachana na mchezaji kiraka Yanick Bangala kwa makubaliano ya pande zote mbili...
-
Soka
/ 4 months agoChe Malone Awazawadia Pamba Fc Beki katili
Beki wa klabu ya Simba Sc Che Malone Fondoh pamoja na mshambuliaji wa klabu hiyo Lionel Ateba wameizawadia klabu ya Pamba...
-
Makala
/ 4 months agoPamba Jiji Fc Yamvuta Bwalya
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Sc Rally Bwalya yupo mbioni kukamilisha dili ya kujiunga na klabu ya Pamba...
-
Makala
/ 4 months agoSillah Awekwa Mtu Kati Azam Fc
Klabu ya Azam Fc imempa ofa ya mwisho kiungo mshambuliaji wake Gibril Sillah ili asaini mkataba wa miaka miwili klabuni hapo...
-
Makala
/ 4 months agoSowah Kupishana na Guede Singida Bss
Mshambuliaji Jonathan Sowah yupo mbioni kujiunga na timu ya Singida Black Stars akichukua nafasi ya Joseph Guede ambaye amefikia makubaliano ya...
-
Makala
/ 4 months agoMpanzu Kuanza na Kengold Fc
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Ellie Mpanzu ataanza kuichezea klabu hiyo rasmi Disemba 18 katika mchezo wa ligi kuu...
-
Makala
/ 4 months agoYanga Sc Yamtambulisha Mwenda
Klabu ya Yanga sc imemtambulisha beki Israel Mwenda iliyemsajili kwa mkopo kutoka klabu ya Singida Black Stars kwa mkopo wa miezi...