All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 4 months agoSare ya Kmc Yamuamsha Benchika
Kocha wa klabu ya Simba sc Abdelhack Benchika ameruhusu kusajiliwa kwa majembe mawili ya fasta klabuni hapo kuja kuongeza nguvu katika...
-
Soka
/ 4 months agoKitambi Atua Geita Gold SC
Aliyekua kocha wa zamani wa klabu za Azam Fc na Namungo Fc Dennis Kitambi amejiunga na klabu ya Geita Gold Sc...
-
Soka
/ 4 months agoMsuva Majanga Tupu
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba wa aliyekua mchezaji wao raia...
-
Soka
/ 4 months agoYanga sc Yanasa Kiungo Zanzibar
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo wa JKU ya Zanzibar Shekhan Ibrahim Khamis (18) kwa mkataba wa miaka...
-
Soka
/ 5 months agoKumpata Chasambi 100m
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar Fc imetangaza kuwa dau la kumsajili kinda wa klabu hiyo Ladack Chasambi ni shilingi za...
-
Makala
/ 5 months agoSingida FG Yafungiwa Kusajili
Klabu ya soka ya Singida Fountain Gate Fc imefungiwa kusajili na shirikisho la soka Duniani (Fifa) mpaka itakapomlipa aliyekua mshambuliaji wa...
-
Makala
/ 6 months agoZayd Asaini Miwili Azam Fc
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Yahaya Zayd amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia katika klabu hiyo kwa...
-
Makala
/ 8 months agoYanga sc Yafungiwa Tena
Klabu ya Yanga sc imefungiwa kusajili na shirikisho la soka duniani (FIFA) mpaka pale itakapomlipa fedha zake za usajili mchezaji Gael...
-
Makala
/ 8 months agoDjuma,Yanga sc Mambo Safi
Klabu ya Yanga sc imemalizana kwa amani na beki raia wa Kongo Drc Djuma Shabani baada ya kumpatia barua ya kumuacha...
-
Makala
/ 8 months agoUsajili wa Neymar Balaa Tupu
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymar Dos Santos amekamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Al Hilal Fc ya...