All posts tagged "usajili"
-
Makala
/ 9 months agoSakho Auzwa Ufaransa
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kumuuza staa wake Pape Osmane Sakho kwenda klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) inayoshiriki ligi ya...
-
Makala
/ 9 months agoLuís Miquissone Atambulishwa Simba sc
Klabu ya Simba sc imemtambulisha rasmi Luís Miquissone kuwa mchezaji wao mpya baada ya kuondoka klabuni hapo takribani misimu miwili iliyopita...
-
Makala
/ 9 months agoTape Aondoka Azam Fc
Uongozi wa klab ya Azam na Mchezaji wao Tape Edinho wamefikia makubaliano ya pande zote mbili Juu ya kuvunja mkataba uliosalia...
-
Makala
/ 9 months agoSkudu ni Mwananchi
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Mahlatse Skudu Makudubela kuwa mchezaji wao baada ya kukamilisha usajili wa...
-
Makala
/ 9 months agoYanga sc Yamtambulisha Gift
Klabu ya Yanga sc imemtambulisha beki Gift Fred ambaye imemsajili kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya...
-
Makala
/ 9 months agoDuchu Arejea Simba sc
Klabu ya Simba sc imetangaza kumrejesha beki wa pembeni David Kameta maarufu kama Duchu ambaye alikua kwa mkopo katika klabu ya...
-
Makala
/ 10 months agoYanga sc Yaalikwa Malawi
Klabu ya Yanga sc imepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe za uhuru wa nchi ya Malawi zitakazofanyika Julai 6, 2023 nchini humo...
-
Makala
/ 10 months agoMo Aingilia Usajili wa Beki
Tajiri wa klabu ya Simba sc ameongeza nguvu katika usajili wa beki wa Cotton Sports ya nchini Cameroon Che Fondoh Malone...
-
Makala
/ 10 months agoKibabage Kutua Yanga sc
Uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo ya kumsajili Nickson Kibabage akitokea Singida Fountain Gate alikodumu kwa msimu mmoja pekee baada ya...
-
Makala
/ 10 months agoSimba sc Yastaafisha Jezi ya Mkude
Katika kutoa heshima kwa Jonas Mkude,klabu ya Simba sc imeamua kustaafisha jezi namba 20 iliyokua ikivaliwa na mchezaji huyo ili kutoa...