Connect with us

Makala

Lampard Haelewi Wamekwama Wapi spurs

Mchezo wa Kombe la Carabao hatua ya 16 bora uliochezwa jana uwanja wa Tottenham Hotspur kati ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ulikuwa na ushindani mkubwa na dakika 90 zilikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 jambo lililopelekea mshindi kupatikana kwa penalti.

Chelsea ilianza kupachika bao kupitia Timo Werner dakika ya 19 na lilisawazishwa dakika ya 83 na Erik Lamela ambapo kwenye penalti, Spurs inayonolewa na Jose Mourinho ilishinda penalti 5-4.

Lampard amesema kuwa wachezaji wake walionekana wamechoka kwenye mchezo huo jambo lililowafanya washindwe kuibuka na ushindi jumlajumla japo walianza kupata ushindi dakika 45 za mwanzo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala