All posts tagged "usajili"
-
Soka
/ 4 years agoThadeo Lwanga ni Mnyama
Klabu ya Simba sc imemsajili kiungo Thadeo Lwanga kwa mkataba wa miaka miwili akiwa kama mchezaji huru ambapo atachukua nafasi ya...
-
Soka
/ 4 years agoKotei Kurudi Simba sc
Kulekea katika usajili wa dirisha dogo klabu ya Simba sc ipo mbioni kumrudisha kiungo James Kotei iliyoachana nae misimu wa 2018/2019...
-
Soka
/ 4 years agoBeki wa Bilioni Moja Kutua Simba sc
Katika kujiweka sawa kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika klabu ya Simba sc inaangalia uwezekano wa kumsajili beki...
-
Soka
/ 4 years agoYanga sc Kuleta Straika Mpya
Klabua ya Yanga sc ipo mbioni kuongeza mshambuliaji mwingine ili kusaidia kazi ya ufungaji mabao kikosini humo kufuatia kutofunga magoli ya...
-
Soka
/ 4 years agoAdam Adam,Kibaya Kutua Jangwani
Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kuwasajili washambuliaji Adam Adam wa Jkt Tanzania pamoja na Jafary Kibaya wa Mtibwa sugar katika...
-
Soka
/ 4 years agoMukoko,Yanga Mahaba Tele
Kiungo wa Kimataifa wa Congo anayekipiga Katika klabu ya Yanga Africa ya Dar es Salaam Tanzania Mukoko Tonombe Amesema anaipenda Sana...
-
Makala
/ 4 years agoMunene Aongeza Mkataba AFC Leopards
AFC Leopard imemuongezea mkataba mpya wa miaka miwili beki,Washington Munene ambaye alikuwa nyota wa zamani wa Nairobi Stima. Munene aliingia kambini...
-
Makala
/ 4 years agoMwendwa Mali Rasmi Ya Leopards
AFC Leopard ya kenya imekamikisha usajili wa mshambuliaji,Harrison Mwendwa kutoka Kariobangi Sharks kwa mkataba wa kuitumikia klabu hiyo miaka miwili. Leopard...
-
Makala
/ 4 years agoOezil Kutemwa Arsenal Msimu Huu
Tetesi zinaeleza kuwa Mesut Oezil ambaye ni mzaliwa wa Uturuki na raia wa Ujerumani hajajumuishwa kwenye kikosi cha wanasoka 25 kinachotegemewa...
-
Makala
/ 4 years agoMan United Wanaamini kwa Cavani
Manchester United wamekuwa na imani kubwa baada ya kumsajili fowadi wa zamani wa PSG,Edinson Cavani bila ada yoyote siku ya jana...