Yanga sc Kuleta Straika Mpya

0

Klabua ya Yanga sc ipo mbioni kuongeza mshambuliaji mwingine ili kusaidia kazi ya ufungaji mabao kikosini humo kufuatia kutofunga magoli ya kutosha.

Yanga sc imetoa sare mechi tatu mfululizo za ligi kuu msimu huu huku kesho ikiwa na kibarua cha kuivaa Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu huku ikiwa imekusanya alama tatu katika michezo mitatu ukiwemo wa Gwambina Fc,Simba sc na Namungo Fc.

Kocha Cedrik Kaze amesisitiza kuhusu umuhimu wa kuongeza mshambuliaji mpya kikosini humo huku akisita kusema nani na nani wataondoka kikosini humo.

Leave A Reply

Your email address will not be published.