All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 10 months agoMashaka Atambulishwa Simba Sc
Klabu ya Simba imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Valentino Mashaka kutoka klabu ya Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili na ametangazwa...
-
Makala
/ 10 months agoBeki Kisiki Atua Simba Sc
Klabu ya Simba sc imetangaza kukamilisha usajili wa beki Abdulrazaka Mohamed Hamza kwa mkataba wa miaka miwili akiwa kama mchezaji huru...
-
Makala
/ 10 months agoMnigeria Njiani Kutua Simba Sc
Nyota wa Klabu ya Rivers United Augustine Okejepha yupo njiani kuja Tanzania kwa ajili ya kujiunga na mabingwa wa zamani wa...
-
Makala
/ 10 months agoMvp wa Ivory Coast Atua Simba sc
Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa kiungo Mshambuliaji Ahoua Jean Charles kutokea klabu ya Stella Club Abijani ya nchini Ivory...
-
Makala
/ 10 months agoSimba Sc Yasajili Straika la Mabao
Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Uganda Stephen Mukwala kwa mkataba wa miaka miwili akiwa huru baada...
-
Makala
/ 10 months agoMutale Atambulishwa Simba Sc
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuinasa saini ya winga wa klabu ya Power Dynamos Joshua Mutale kwa mkataba wa miaka mitatu...
-
Makala
/ 10 months agoChama Atambulishwa Yanga sc
Mapema asubuhi ya leo klabu ya Yanga sc imemtambulisha kiungo mshambuliaji Cletous Chama kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo akijiunga kwa...
-
Makala
/ 10 months ago1B Kumsajili Kibu
Klabu ya Simba sc imethibitisha kuwa inahitaji takribani kiasi cha zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni mbili ili kuamuachia staa wake...
-
Makala
/ 10 months agoKibu Atambulishwa Rasmi Simba Sc
Baada ya kuripotiwa kuwa ameongeza mkataba wa kuendelea kusalia katika klabu ya Simba Sc,Sasa ni rasmi mshambuliaji Kibu Dennis ataendelea kusalia...
-
Makala
/ 10 months agoIsrael Aongeza Mkataba Simba Sc
Ikiwa katika maboresho makubwa ya kikosi chake,Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kumuongeza mkataba beki Israel Mwenda mpaka mwaka 2026 ambapo amesaini...