All posts tagged "Featured"
-
Soka
/ 4 years agoRatiba TPL yatoka
Bodi ya ligi kuu imetangaza na kutoa rasmi ratiba ya ligi kuu soka Tanzania Bara hii leo katika mkutano na waandishi...
-
Soka
/ 4 years agoMessi avunja rekodi ya Pele
Mshambuliaji wa Argentina Lionel hatimaye amevunja rekodi ya ufungaji wa mabao Amerika ya Kusini iliyokuwa ikishikiliwa na gwiji wa soka duniani...
-
Soka
/ 4 years agoGomez apigwa stop kukaa benchi
Shrikisho la soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawaruhusiwi kukaa katika benchi la ufundi katika michuano ya klabu bingwa...
-
Soka
/ 4 years agoLiverpool waikazia FIFA kufungiwa wachezaji wake
Klabu ya Liverpool inaaminin kuwa sshirikisho la soka duniani FIFA hawana sababu ya msingi kuwafungia wachezaji wake kukosa michezo miwili mmoja...
-
Soka
/ 4 years agoJapan yajitoa uandaaji klabu bingwa dunia
Nchi ya Japan imejitoa kuandaa michuano ya klabu bingwa ya dunia iliyopangwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu kutokana na vikwazo vya...
-
Soka
/ 4 years agoBiashara United bado kizungumkuti
Wawakilishi wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Biashara United wapo katika hatikati ya kusafiri kuuwahi mchezo wa hatua ya...
-
Soka
/ 4 years agoDube nje wiki sita
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Azam fc Prince Dube anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa takribani wiki siku...
-
Masumbwi
/ 4 years agoTyson Fury kustaafu tena Boxing
Bondia wa uzito wa juu duniani toka Uingereza Tyson Fury ametangaza kuwa atastaafu ngumi za kulipwa baada ya mapambano yake matano...
-
Soka
/ 4 years agoRudiger aiweka njia panda Chelsea
Mlinzi wa kati wa Chelsea Antonio Rudiger ameanza kuiweka mashakani klabu yake juu ya mustakabali wake mara baada ya kuanza kuhusishwa...
-
Soka
/ 4 years agoLiverpool kumng’oa Bellingham Dortmund
Klabu ya soka ya Liverpool imeanza mchakato wa kumsajili kiundo wa klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani Jude Bellingham anayethaminishwa na...