Connect with us

Soka

Mwalimu Kashasha afariki

Gwiji wa uchambuzi wa soka Tanzania Alex Kashasha maarufu kama Mwali Kashasha amefariki dunia hii leo katika hospitali ya Kairuki alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mwalim Kashasha alikua akifanya kazi ya uchambuzi wa soka kwa jia ya redio kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kabla ya umauti haujamfika.

Kashasha atakumbukwa kwa misemo ya kimombo na kitaalum alipokuwa akisimulia matukio mbalimbali ya uwanjani kama vile locomotive faint,diagonal pass, simple blockbuster n.k.

Bwana ametoa,na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Ameen.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka