Connect with us

Soka

Kiungo Ajifunga Azam Fc

Kiungo mkabaji Bryson Rafael ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga katika klabu yake ya Azam Fc baada ya ule wa awali kuelekea mwishoni.

Kiungo huyo amekuwa na kiwango kizuri msimu huu, akisifika kwa kasi yake ya ukabaji kiasi cha kuzitoa udenda timu za Kariakoo jijini Dar es salaam.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Tanzania, kwa kusaini mkataba huo mpya ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2023.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka