Connect with us

Riadha

Mkenya Aweka Rekodi Marathoni

Raia wa Kenya Elliud Kipchoge ameweka rekodi ya kumaliza mbio za marathoni chini ya masaa mawili wakati alipokimbia kuanzia eneo la darajani na kumalizia eneo la bustani ya prater na kufanikiwa kuweka rekodi hiyo ya dunia.

Bingwa huyo wa dunia wa michuano ya Olimpiki na marathoni mwaka 2016 alitumia jumla ya muda wa 1:59:40 na kuweka rekodi hiyo iliyofanya umati wa watu kupita huku wakimshangilia barabarani.

Ni nadra sana kwa siku za karibuni kwa wanariadha kumaliza mbio za marathoni kwa kutumia muda wa chini ya masaa mawili na kipchoge baada ya kufanikiwa anaingia katika rekodi za dunia.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Riadha