MWANARIADHA wa Kenya bingwa wa Olimpiki katika mashindano ya marathon, Eliud Kipchoge, ametunukiwa tuzo ya kitaifa ya Rais Uhuru Kenyatta. Rais Kenyatta ambaye anaongoza sherehe za Mashujaa Day mjini Mombasa …
Tag:
kipchoge
-
-
 Ni mwanariadha wa kimataifa anayeshikilia rekodi ya dunia ya Olympic ya mbio za masafa marefu zaidi aliyoiweka huko Berlin Ujerumani mwaka 2018. Pia leo ametangazwa kuwa binadamu wa kwanza kukimbia …
-
Raia wa Kenya Elliud Kipchoge ameweka rekodi ya kumaliza mbio za marathoni chini ya masaa mawili wakati alipokimbia kuanzia eneo la darajani na kumalizia eneo la bustani ya prater na …