Mwanariadha Mtanzania Alphonce Simbu amefanikiwa  kushika nafasi ya pili katika Shanghai Marathon 2023 na huku Mtanzania mwingine Jackline Sakilu ambaye ameshika nafasi ya nane katika mashindano hayo maarufu nchini humo. …
riadha
-
-
MWANARIADHA wa Kenya bingwa wa Olimpiki katika mashindano ya marathon, Eliud Kipchoge, ametunukiwa tuzo ya kitaifa ya Rais Uhuru Kenyatta. Rais Kenyatta ambaye anaongoza sherehe za Mashujaa Day mjini Mombasa …
-
 Ni mwanariadha wa kimataifa anayeshikilia rekodi ya dunia ya Olympic ya mbio za masafa marefu zaidi aliyoiweka huko Berlin Ujerumani mwaka 2018. Pia leo ametangazwa kuwa binadamu wa kwanza kukimbia …
-
Raia wa Kenya Elliud Kipchoge ameweka rekodi ya kumaliza mbio za marathoni chini ya masaa mawili wakati alipokimbia kuanzia eneo la darajani na kumalizia eneo la bustani ya prater na …
-
Timu ya riadha kutoka Tanzania imefanya vibaya katika mashindano ya riadha Afrika yanayoendelea nchini Morocco baada ya wanariadha watatu kushika nafasi ya mwisho katika mashindano hayo. Wanariadha hao  Ally Gulami, …
-
Mwanariadha wa kike kutoka Afrika ya Kusini Caster Semenya ameibuka mshindi katika mbio za mita 2,000 zilizofanyika jijini Paris Ufaransa ukiwa ni ushindi wake wa kwanza tangu awasilishe rufaa yake …