Connect with us

Makala

Mchezaji Huyu Ajifunga Miaka Miwili Simba

Beki wa klabu ya Lipuli FC ,David Kameta ‘Duchu’ inaelezwa kuwa amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya klabu ya Simba.

Duchu amekuwa kwenye ubora wake ndani ya Lipuli ambapo amefunga mabao matatu na kutoa pasi saba za mabao.
Lipuli imeshuka daraja baada ya kufikisha pointi 44 ikiwa nafasi ya 18 hivyo msimu ujao itashiriki Ligi Daraja la Kwanza.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala