Connect with us

Makala

Kabwili Aitwa Stars

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Kim Poulsen ametangaza majina ya kikosi cha wachezaji 28 kujiunga na kambi ya timu ya Taifa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Congo kujiandaa kufuzu mashindano ya kombe la Dunia nchini Qatar 2022.

Katika orodha hiyo jina la kipa Ramadhani Kabwili limeonekana kuzua gumzo kutokana na kuonyesha kiwango duni katika michuano ya kombe la Kagame lililoisha hapo juzi.Baadhi ya mastaa wengine walioitwa ni hawa hapa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala