All posts tagged "usajili"
-
Soka
/ 6 years agoUsajili Yanga Waanikwa
Klabu ya yanga ya jijini Dar es salaam imeripotiwa kukamilisha usajili wa wachezaji kumi mpaka sasa kutoka mataifa tofauti ya Afrika...
-
Soka
/ 6 years agoSamatta Agombewa Ulaya
Timu za Brighton na Aston Villa zinashoriki ligi kuu ya Uingereza zimeonesha nia ya kumuwania mshambualiaji wa kitanzania anayecheza ligi kuu...
-
Soka
/ 6 years agoMexime,Kihimbwa Wanukia Yanga
Klabu ya Yanga imeendelea na harakati za kuboresha kikosi chake ambapo baada ya kusajili mapro wa kigeni kadhaa sasa imegeukia wazawa...
-
Makala
/ 6 years agoStraika Mpya Yanga,makambo Akasome
Baada ya kumuuza straika wake Heritier Makambo kwenda Guinea basi Yanga haijalala fasta inashusha straika matata kutoka nchini Nambia anayeitwa Sadney...
-
Soka
/ 6 years agoWasudani Wamvizia Kabwili
Golikipa kinda wa Yanga Ramadhani kabwili huenda akaachana na timu hiyo endapo mipango yake ya kucheza soka la kimataifa itakamilika.Kipa huyo...
-
Makala
/ 6 years agoNinja Ana Ofa Kibao Mezani
Beki katili wa Yanga Abdalah Shaibu “Ninja” ambae mkataba wake na wanajangwani hao upo ukingoni tayari amewekewa ofa za kutosha na...
-
Soka
/ 6 years agoSina Mkataba na Apr-Bigirimana
Mshambualiji mpya wa klabu ya Yanga Issa Bigirimana amekana kuwa na mkataba na klabu ya Apr ya Rwanda baada ya waajiri...
-
Soka
/ 6 years agoTambwe aongoza wanaotemwa Yanga
Kutesa kwa zamu ndiyo msemo sahihi wa kuutumia kwa kipindi hiki wakati harakati za usajili ligi kuu bara zikiendelea kwa timu...