All posts tagged "ngumi"
-
Masumbwi
/ 3 weeks agoBondia Mnemwa Aomba Msaada
Kufuatia kupigwa na kujeruhiwa vibaya alipokua ulingoni katika pambano la ngumi la raundi nne dhidi ya Ally Sewe katika ukumbi wa...
-
Masumbwi
/ 4 weeks agoNgumi Zamlaza Bondia Icu Muhimbili
Bondia wa Ngumi za Kulipwa nchini Tanzania Mohamedi Mnemwa amelazimika kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha...
-
Makala
/ 1 month agoSerikali Yawashukia Mabondia
Naibu waziri wa habari sanaaa utamaduni na michezo Mh. Hamis Mwinjuma amewaagiza viongozi wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC)...
-
Masumbwi
/ 2 months agoMafia Boxing Yaandaaa Knock Out ya Mama
Kampuni maarufu ya usimamizi wa ngumi nchini ya Mafia Boxing imeandaa mapambano maalumu ya kufunga mwaka yatakayofanyika siku ya Disemba 26b...
-
Masumbwi
/ 2 months agoBondia Mtanzania Akwama Urusi
Bondia raia wa Tanzania Kennedy Ayo amekwama nchini Urusi baada ya kukosa nauli ya kurudi nyumbani kutokana na ubabaishaji wa promota...
-
Masumbwi
/ 1 year agoMwakinyo Huru
Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungulia bondia Hassan Mwakinyo kutoka kifungoni baada ya kufanyika kikao cha maridhiano baina ya...
-
Masumbwi
/ 1 year agoBondia Mtanzania Fadhili Majiha ‘Kiepe Nyani’ ambaye ni bingwa wa mkanda wa WBC Afrika ameweka rekodi ya kuwa Bondia wa kwanza...
-
Makala
/ 1 year agoMwakinyo Aitwa Mahakamani
Kampuni ya PAF Promotion imemfungulia shauri la madai Bondia Hassan Mwakinyo ambalo linatarajiwa kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023...
-
Makala
/ 2 years agoMwakinyo Afafanua Kufungiwa
Bondia Hassan Mwakinyo amefafanua kuhusu kufungiwa kwake na shirikisho la ngumi nchini Uingereza kucheza mapambano ya ngumi nchini humo kwa kipindi...
-
Masumbwi
/ 3 years agoMandonga Amtaka Dullah Mbabe
Bondia Karim Mandonga “Mtu Kazi” sasa amehamishia hasira zake kwa bondia Dullah Mbabe akitaka kupambana nae baada ya kutokea kujibizana kwa...