All posts tagged "Featured"
-
Makala
/ 4 years agoAzam FC yazindua uzi mpya
Klabu ya soka ya Azam imetambulishwa jezi rasmi zitakazotumiwa na timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa kwa msimu...
-
Masumbwi
/ 4 years agoDulla Mbabwe,Twaha Kiduku hatoki mtu PAYBACK NIGHT
Lile pambano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu na wapenzi na wadau wa ngumi nchini Tanzania kati ya Mzaramo Dulla Mbabe na Mpogoro...
-
Soka
/ 4 years agoKanoute atua Msimbazi
Kiungo raia wa Mali Sadio Kanoute amejiunga na mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba SC kwa mkataba wa miaka miwili kuwatumikia...
-
Makala
/ 4 years agoMukoko arejea mazoezini Morocco
Kiungo wa klabu ya soka ya Yanga Mkongomani Mukoko Tonombe ameonekana kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea huko Marakesh nchini Morocco....
-
Soka
/ 4 years agoMwalimu Kashasha afariki
Gwiji wa uchambuzi wa soka Tanzania Alex Kashasha maarufu kama Mwali Kashasha amefariki dunia hii leo katika hospitali ya Kairuki alipokuwa...
-
Makala
/ 4 years agoKabwili Aitwa Stars
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Kim Poulsen ametangaza majina ya kikosi cha wachezaji 28 kujiunga na kambi...
-
Soka
/ 4 years agoUkaguzi viwanja TPL Agosti 30
Mtendaji Mkuu wa bodi ya ligi Almasi Kasongo amesema kuwa ukaguzi wa viwanja vyote vitakavyotumika na timu zitakazoshirirki ligi kuu bara...
-
Soka
/ 4 years agoZahera Aipa Tano Gsm
Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera amesema usajili wa mlinzi wa kulia Shabani Djuma aliyetua Yanga kwa dau la zaidi...
-
Soka
/ 4 years agoSamata,Msuva Kuwakosa Malawi
Mastaa wa timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Mbwana Samata na Saimon Msuva wataukosa mchezo wa kirafiki wa timu hiyo dhidi...
-
Soka
/ 4 years agoInjinia Atua Sauzi Kumfuata Kambole
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya usajili wa klabu ya Yanga sc Injinia Hersi Said ametua Africa kusini akitokea DR Congo kuangalia...