All posts tagged "Featured"
-
Tenis
/ 4 years agoMedvedev ashinda US Open
Mchezaji wa tenisi wa Russia Daniil Medvedev amefanikiwa kutwaa ubingwa wa US Open upande wa wanaume baada ya kumfunga mchezaji namba...
-
Soka
/ 4 years agoYanga SC yaanza vibaya klabu bingwa
Klabu ya soka ya Yanga imeanza vibaya michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kupoteza kwa goli 1-0 nyumbani dhidi ya...
-
Soka
/ 4 years agoUjenzi uwanja wa mpira Dodoma mbioni
Msemaji mkuu wa Serikali Mheshimiwa Gerson Msigwa amesema kuwa ujenzi wa uwanja wa kimataifa wa michezo uliopangwa kujengwa makao makuu ya...
-
Tenis
/ 4 years agoRaducanu atwaa US Open
Mchezaji kinda wa mchezo wa tenisi kutoka Uingereza Emma Raducanu amefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano mikubwa ya mchezo huo(Grandslam) ya US...
-
Soka
/ 4 years agoAzam FC yaanza vizuri kimataifa
Wwakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika Azam FC wameanza vema michuano hiyo baada ya kupata ushindi...
-
Soka
/ 4 years agoRonaldo atupia mbili Utd ikiiua Newcastle
Mshambuliaji mpya wa mashetani wekundu Cristiano Ronaldo ameweka kambani magoli mawili kwa timu ya Manchester United katika ushindi wa magoli 4-1...
-
Masumbwi
/ 4 years agoW/Mkuu: Tunasubiri Mwakinyo vs Kiduku
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema kuwa anasubiria kwa hamu pambano la mabondia wawili...
-
Makala
/ 4 years agoYanga SC vs Rivers Utd bila mashabiki
Mabingwa wa kihistoria Tanzania klabu ya Yanga imetoa taarifa rasmi kupitia kurasa zake za kijamii kuwa mchezo wa awali hatua ya...
-
Soka
/ 4 years agoFIFA yaruhusu Wabrazil kukipiga Epl
Shirikisho la mpira miguu duniani(FIFA) limetoa ruhusu ya wachezaji wa mataifa ya Amerika ya Kusini na Mexico waliokumbana na adhabu ya...
-
Soka
/ 4 years agoKocha Hitimana asaini Simba SC
Aliyekua kocha wa Mtibwa Sugar Mrwanda Thiery Hitimana ametia saini katika klabu ya Simba kuwa kocha msaidizi wa mabingwa hao wa...