All posts tagged "cedrick kaze"
-
Makala
/ 3 years agoChico,Yacouba kuwakosa Simba sc
Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga sc Cedrick Kaze amesema kuwa wachezaji Chico Ushindi na Yacouba Songne wataukosa mchezo wa kesho...
-
Soka
/ 4 years agoYanga sc Kuleta Straika Mpya
Klabua ya Yanga sc ipo mbioni kuongeza mshambuliaji mwingine ili kusaidia kazi ya ufungaji mabao kikosini humo kufuatia kutofunga magoli ya...
-
Soka
/ 4 years agoKaze Apata Mwanga Yanga sc
Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amesema baada ya kukinoa kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria kwa takribani siku 22, ameanza...
-
Makala
/ 4 years ago“Sina Benchi Imara”-Kaze
Kufuatia sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba sc kocha wa Yanga sc Cedrick Kaze amelalamika kutokuwa na wachezaji mbadala katika...
-
Soka
/ 4 years agoImeisha Hiyooo
Baada ya tambo nyingi hatimaye mechi ya watani wa jadi Simba sc na Yanga sc imemazika kwa sare ya bao 1-1...
-
Makala
/ 4 years agoCarlinhos Wa Yanga Atajwa na Kaze
Cedrik Kaze ambaye ni kocha mpya wa Yanga ameanza na safu ya ushambuliaji katika program zake za mazoezi kuhakikisha anapunguza ukame...
-
Makala
/ 4 years agoKaze Kufungua Dimba Na Polisi Tanzania
Cedric Kaze ambaye ni kocha mkuu wa Yanga Sc tayari ameshaanza kazi ya kukinoa kikosi hicho cha Jangwani ambacho Novemba 22,kitavaana...
-
Makala
/ 4 years agoKaze Ajifunga Yanga Miaka Miwili
Uongozi wa Yanga Sc leo Oktoba 16, umemtambulisha rasmi Cedric Kaze,kama kocha mkuu wa klabu hiyo ambaye alitua hapo jana usiku...