Connect with us

Makala

“Sina Benchi Imara”-Kaze

Kufuatia sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba sc kocha wa Yanga sc Cedrick Kaze amelalamika kutokuwa na wachezaji mbadala katika benchi lake ni moja ya sababu iliyosababisha kupoteza mchezo huo.

Kaze alisema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari hasa baada ya kuonekana akitumia kujilinda zaidi hasa mwanzoni mwa kipindi cha pili.

Kocha huyo alimtoa Michael Sarpong na kumuingiza Yacouba Sogne hali iliyosababisha timu hiyo kutokua na makali hasa eneo la ushambuliaji na kuwapa uhuru mabeki wa Simba sc kujenga mashambulizi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala