Connect with us

Soka

Makusu Kutua Orlando Pirates

Taarifa kutoka nchini Kongo zinasema kwamba mshambuliaji hatari wa klabu ya As Vita Jean Makusu yupo njiani kutua katika klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika ya kusini kwa mkopo wa msimu mmoja.

Inaelezwa kuwa mshambuliaji huyo atawekewa na kipengele cha kununuliwa jumla na klabu hiyo kwa msimu ujao wa ligi kuu nchini humo.

Mshambuliaji huyo staa wa Vita amefunga jumla ya mabao 60 katika klabu hiyo na hivi karibuni amerejea baada ya kutoka majeruhi ya muda mrefu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka