Connect with us

Soka

Kocha Stars Ainunua Mbao Fc

Aliyekuwa Mkurugenzi wa ufundi wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania “TFF” na kocha wa zamani wa timu za Taifa ya Tanzania(taifastars)_ Ammy Ninje, Yupo katika hatua za mwisho kuinunua Klabu ya daraja la kwanza, @mbaofc ya jijini Mwanza.

Ammy Ninje kwasasa anaishi Uingereza amesema tayari karibu kila kitu kimekamilika na hivi karibuni atakuja hapa nchini kuja kamilisha kusaini nyaraka.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka