Connect with us

Soka

Awesu,Mauya Watakiwa Jangwani

Yanga wapo kwenye mazungumzo ya kumsajjili kiungo wa Awesu Awesu aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Kagera Sugar pamoja na  kiungo mwigine wa Kagera Sugar Zawadi Mauya kwa wakati mmoja.

Yanga sc imeonekana kuvutiwa na viungo hao hasa baada ya kuwanyanyasa hasa walipokutana katika mchezo wa kombe la shirikisho ambapo walionyesha viwango bora.

Pia habari hizo za kuwahitaji mastaa hao zimeenda sambamba na kuhitajika kwa kocha Mecky Mexime katika klabu hiyo ya Jangwani ambapo taarifa za awali zinadai tayari ameshasaini klabuni hapo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka