Fei Toto,Chama Watwaa Tuzo SportsPesa

0

Feisal Salumu fei Toto na Cletousn Chama wamechaguliwa kuwa wachezaji bora wa mwaka 2019/2020 wa klabu ya Yanga na Simba sc kutoka kwa kampuni ya Sportspesa kutokana na kura za mashabiki wa klabu hiyo.

Kampuni hiyo ambayo ni wadhamini wa klabu hizo za Simba sc na Yanga sc wana utaratibu wa kutoa zawadi kila mwisho wa msimu kutokana na kura za mashabiki ambazo huhusabiwa na mshindi kutangazwa hadharani.

Kwa tuzo hiyo mastaa hao wamejinyakulia pesa taslimu kiasi cha shilingi Milioni moja za Kitanzania.

Leave A Reply

Your email address will not be published.