U/Taifa Wabadilishwa Jina

0

Rais John Pombe Magufuli ameubadilisha jina uwanja wa Taifa nan kuuita uwanja wa Benjamini Mkapa ikiwa ni moja ya kumuenzi kiongozi huyo aliyefariki Dunia siku ya Alhamis Wiki iliyopita.

Rais Magufuri amesema hayo wakati akihutubia mamia ya waombolezaji waliofika uwanjani hapo kumuaga Rais huyo Mstaafu ambaye anatarajiwa kuzikwa kesho Jumatano katika kijiji cha Lupaso wilayani Masasi mkoani Mtwara.

Leave A Reply

Your email address will not be published.