Connect with us

Makala

Tammy amfuata Morinho AS Roma

Mshambuliaji Tammy Abraham amemwaga wino kuwatumikia watoto wa Papa klabu ya soka ya AS Roma ya Italia kwa mktaba wa miaka mitano hadi 2026 kwa ada ya Euro milioni 40 kutoka Chelsea.

Katika mkataba wake kuna kipengele cha Chelsea kumnunua tena kwa euro milioni 80 itakapofika mwaka 2023 atkapokuwa namefikia nmisimu miwili katika klabu yake hiyo mpya.

Tammy amempisha Mbelgiji Romelu Lukaku aliyejiunga na Chelsea,na amechagua kujiunga na AS Roma baada ya kupigiwa simu na Jose Mourinho na kushawishiwa kwenye mradi mpya wa mabingwa hao wa zamani wa Italia.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala