Connect with us

Makala

Saba Kushushwa Yanga,11 Kutemwa

Kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Sc ameanza mikakati ya kusuka upya kikosi chake huku akiweka wazi kuwa anahitaji wachezaji saba na amepanga kuwatema 11.

Yanga inaonekana kupata wakati mgumu kwa sasa kutokana na kutolewa kwenye mashindano ya kombe la shirikisho(FA) na kwaacha watani wao wa jadi Simba Sc klabu wakitwaa ubingwa kwa miaka mitatu mfululizo.

Eymael ambaye amefundisha soka barani Afrika na kutwaa mataji sita,amesema kwa namna anavyokithamini kikosi chake na kuona uwezo wa kila mchezaji kuna ulazima wa kufanya usajili wa maana ambao utazingatia mahitaji ya timu hiyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala