Connect with us

Makala

Msola,Babra Waalikwa Afcon

Viongozi wa vilabu vya Simba sc na Yanga sc Dk.Mshindo Msola na Babra Fenarndes wamealikwa kuhudhuria fainali ya kombe la mataifa ya Afrika(Afcon 21) zinzofanyika nchini Cameroon siku ya jumapili zikiwakutanisha Senegal na Misri.

Fainali hizo zimepelekea shirikisho la soka barani Afrika(Caf) kualika watu mbalimbali mashuhuri kuhudhuria wakiwemo viongozi hao wa vilabu vikubwa hapa nchini.

Fainali za Afcon zitachezwa siku ya Jumapili ambapo wenyeji Cameroon wametolewa na Misri ambao wameingia Fainali huku Senegal wakiwatoa Burkina Faso.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala