Connect with us

Makala

Azam Yawafunga Tepsi,Msindo

Klabu ya Azam Fc imeamua kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Tepsi Evance na Pascal Msindo kwa mwaka mmoja zaidi kutoka katika mikataba yao ya awali ambayo ilikua inaisha mwaka 2024.

Pascal msindo akisaini mkataba mpya akiwa na mtendaji mkuu wa Azam Fc Abdulkarim Amin.

Nyota hao awali walikua na mikataba kwa miaka miwili zaidi lakini kutokana na kiwango chao klabu hiyo imeamua kuwaongezea mkataba mipya ambayo itaisha mwaka 2025.

Tepsi Evance akisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja akiwa na mtendaji mkuu wa klabu ya Azam Fc Abdulkarim Amin

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala