Connect with us

Makala

Morrison Simba Kuwavaa Yanga

Ratiba mpya ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara umewapa miezi miwili wachezaji wapya waliosajiliwa Simba Sc na Yanga Sc kabla ya kukutana katika mechi ya watani ,uwanja wa Mkapa.

Timu hizo zitakuwa na muda wa siku 60 wa kujiandaa kwani ni mchezo ambao utakuwa na sura mpya kwa timu zote mbili kutokana na usajili uliofanyika katika dirisha hili kubwa.

Kutoka kwa ratiba hiyo kunampa pia Siku 60 aliyekuwa mchezaji wa Yanga ,Benard Morrison ambaye kwa sasa anavaa uzi mwekundu na mweupe kutafakari zaidi jinsi gani atawamaliza mabosi zake uwanjani au kuwaacha salama katika mchezo huo ambao hata onekana katika vazi la Jangwani bali la Simba Sc.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala