Connect with us

Makala

Minziro Kocha Bora VPL

Fred Felix Minziro ambaye anainoa Mbao Fc ya Mwanza amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20 akiwashinda Amri Said wa Mbeya City na Aristica Cioaba wa Azam aliokuwa akishindana nao.

Minziro aliiongoza Mbao kushinda michezo mitano kati ya sita waliyocheza ndani ya mwezi Julai na kupata sare moja.

Mbao FC itashiriki ligi daraja la kwanza msimu wa 2020/21 kwa kuwa ilitolewa na Ihefu FC kwenye mchezo wa playoffs kwa faida ya mabao ya ugenini.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala