Connect with us

Makala

Mechi 10 Atakazocheza Samatta ,Aston Villa

Aston Villa wamefanikiwa kumsajili Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na nusu ambapo ataitumikia klabu hiyo hadi mwezi Juni 2024 kwa ada ya pauni milioni 8.5

Mbwana Samatta atakuwa na kibarua kuelekea kampeni ya ligi kuu na michuano mingine kuanzia wikiendi hii ambapo katika mechi 10 za kwanza Aston Villa itacheza na Watford (H), Leicester City (H), Bournemouth (A), Tottenham Hotspurs (H), Southampton (A), Sheffield United (H), Chelsea (H), Newcastle United (A), Wolverhampton (A), Liverpool (A).

Aston Villa inakamata nafasi ya 18 katika msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza, ikiwa imeshinda mechi sita, imefungwa mechi 13 na imetoka sare mechi nne.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala