Connect with us

Makala

Locatelli atua kibibi kizee cha Turin

Kiungo Muittaliano Manuel Locatelli amejiunga na klabu ya soka ya Juventus akitokea Sassuolo kwa ada ya euro milioni 40 akisaini mkataba wa miaka mitano hadi 2026.

Locatelli alishinda kombe la Ulaya akiwa wa timu ya taifa ya Italia katika michuano ya Euro 2020 akifanya vizuri akiwa na kikosi hicho kwa kufunga magoli matatu.

Mchezaji huyo alikuwa akihusishwa na klabu ya Arsenal lakini alichagua muda mrefu kujiunga na Juventus.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala