Connect with us

Makala

Liva Yamtuliza Mourinho

Timu ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tottenham ya Jose Mourinho katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Anfield jijini Liverpool.

Mabao ya awali ya Mo salah dakika ya 26 lilisawazisha na Son Heung Min dakika ya 33 lakini Roberto Firmino aliamua mwisho wa mchezo baada ya kufunga bao dakika ya 90 na kuipa alama tatu Liverpool.

Liva sasa imekaa kileleni mwa msimamo na alama 28 huku Tottenham wakiwa katika nafasi ya pili na alama 25 wakiwa wamecheza michezo 13.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala