Connect with us

Makala

Kocha Schalke Afungashiwa Virago

Schalke Fc imemfungashia virago kocha wao David Wagner kufuatia kipondo cha 3-1 dhidi ya Werder Bremen jana Jumamosi ligi kuu Bundesliga.

Mabao matatu ya ushindi ya Werder Bremen yapipachikwa na Niclas Fullkrung katika dakika ya 22′ 37 na lile la tata alilipachika kipindi cha pili cha mchezo kwa mkwaju wa penalti dakika ya 59.

Bao la kufutia machozi la Schalke lilipatikana dakika ya 90+3 kupitia kwa Mark Uth,huku Mohammed Kabak akipokea kadi nyekundu dakika ya 84.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala